RATIBA
Utaratibu wa Misa na Ibada (Schedule of Services)
Misa ni Saa Tisa Mchana (15:00hrs) katika Jumapili zote, Pasaka, Krismasi, na Mwaka mpya. (Holy Mass -All Sundays, Easter, Christmas, New Year- 15.00Hrs)
Kuanzia Saa Nane unusu mchana waamini wamo Kanisani kwa maandalizi ya Ibada ya Misa Takatifu.
Baada ya Misa ni kama ifuatavyo (After Mass)
· Jumapili ya Kwanza (1st Sunday) ----- Kuabudu Ekaristi Takatifu (Adoration)
· Jumapili ya Pili (2nd Sunday)------------Mazoezi ya Uimbaji (Choirpractise)
· Jumapili ya Tatu (3rd Sunday)---------Mafunzo ya Biblia (Bible Study)
· Jumapili ya Nne (4th Sunday)-----------Kikao na Kiburudisho (Agape)
Mengineyo ya Jumla (General Administration)
Kwa maadhimisho ya Sakramenti zengine k.m. Ubatizo, Kitubio na kwa mahitaji mengine ama maelezo zaidi, wasiliana na Padre Mchungaji hapa. (For the celebration of other sacraments for example, Baptism, Confession; and general pastoral services, please contact the Chaplain here.)
“Mama Moretta: Kadri Bwana anavyotaka”