MISA KUMUOMBEA MAREHEMU
UWAPE EE BWANA RAHA YA MILELE
(I, Uwape ee Bwana) Raha ya milele (I,III mwanga wa milele) uwaangazie x2
- Kama vile Kristo alivyokufa na kufufu---ka/ vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja na---ye.
- Kwa kuwa katika Adamu wote wanaku---fa/ kadhalika na katika Kristo wote watahui---shwa.
- Ee Mungu, wewe ndiwe utukufu wa waamini na uzima wa wenye ha---ki/ Mwanao amewakomboa kwa kifo na ufufuko wa---ke.
MIMI NDIMI UFUFUO NA UZIMA
Mimi ndimi ufufuo na uzima, yeye aniaminiye ajapokufa atakuwa anai---shi x2
- Naye kila aishie na kuniami---ni/ hatakufa kabisa hata mile---le.
- Kama Kristo alivyokufa akafufu---ka/ vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja na---ye.
- Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanaku---fa/ kadhalika na katika Kristo wote watahui---shwa.
MISA YA WAFU: (Pd. Gregory Kayetta)
BWANA UTUHURUMIE:
((I,II) Bwana utuhurumie) - (III,IV) Bwana utuhurumie. X4
((I,II) Kristu utuhurumie) - (III,IV) Kristu utuhurumie. X2
Kristu, utuhurumie, utuhurumie Kristu.
((I,II) Bwana utuhurumie) - (III,IV) Bwana utuhurumie. X4
MTAKATIFU:
((I,II) Mtakatifu Mtakatifu) - (III,IV) Mtakatifu Mtakatifu
((I,II) Bwana Mungu wamajeshi) - (III,IV) Bwana Mungu wamajeshi
((I,II) Mbingu na dunia zimejaa) - (III,IV) Mbingu na dunia zimejaa
((I,II) utukufu wako mkuu) - ((III,IV) utukufu wako mkuu.
((I,II) Hosana juu mbinguni) - (III,IV) Hosana juu mbinguni x2
Hosana, juu mbinguni, Hosana juu mbinguni.
((I,II) Mbarikiwa mwenye kuja) - (III,IV) Mbarikiwa mwenye kuja
((I,II) Ajaye ulimwenguni) - (III,IV) Ajaye ulimwenguni
((I,II) Kwa jina lake Bwana Mungu) - (III,IV) Kwa jina lake Bwana Mungu
((I,II) Kwa jina la Bwana Mungu) - (III,IV) Kwa jina la Bwana Mungu
MWANAKONDOO
((I,II) Mwanakondoo wa Mungu) - (III,IV) Mwanakondoo wa Mungu
((I,II) Unayeondoa dhambi) - (III,IV) Unayeondoa dhambi
((I,II) dhambi zote za dunia) - (III,IV) dhambi zote za dunia
((I,II) utuhurumie Bwana) - (III,IV) utuhurumie Bwana x2
((I,II) Utujalie Amani) - (III,IV) Utujalie Amani
((I,II) Mwanakondoo wa Mungu) - (III,IV) Mwanakondoo wa Mungu
Amani, utujalie, Utujalie Amani.