MTAKATIFU BAKITA:
Mtakatifu Bakita msimamizi we-tu x2 Tuombee kwa Mungu tuo-ko-ke x2
1. Utujaze mapendo yako ya kitu-me x2 //tuige mfano wako tuokoke x2
2. Utujaze imani kwake Bwana Ye-su x2 // tuige mfano wako tuokoke x2
3. Iombee kwa Mungu Jumuiya yetu x2// Iwe mfano bora wa Imani x2
SAUTI YAO
Sauti ya-o, yaenea katika nchi nzima aleluya aleluya x2.
1. Mbingu za uhubiri utukufu wa Mungu, na anga huitangaza kazi ya mikono ya-ke.
2. Mchana husemezana na mchana, usiku uhufanyia usiku maarifa.
3. Hakuna lugha wala maneno, sauti yao haisikilikani.
WEWE NDIWE PEDTRO
Wewe ndiwe Petro juu ya mwamba huu, nitalijenga kanisa la –ngux2
1. Wala milango, ya kuzimu, wala haitalishinda ka-mwe
2. Ni-takupa, wewe funguo, za ufalme ule wa mbingu-ni
3. Utalofunga, duniani, litafungwa na kule Mbingu-ni
4. –Talofungua, duniani, litafunguliwa na mbingu-ni