KARIBU
Karibu katika Jumuiya ya Mt. Josephina Bakhita. Jumuiya ya Wakatoliki Wazungumzao Kiswahili (SSACC) - Vienna Austria.
Tumsifu Yesu Kristu! Salamu. Ndugu, Roho Mtakatifu ambaye analihuisha Kanisa ameliwezesha kuanzia wakati wa Pentekoste, kuenea katika mabara yote na kwa watu wa tamaduni na wanaozungumza lugha mbalimbali. Kila mahali Ukatoliki wa Kanisa unawekwa bayana na Waamini Wakristo ambao wanaeleza imani yao. Kanisa Katoliki Vienna linadhihirisha upeo wa Kanisa kutokana na makundi mbalimbali ya waamini yakiwa yameunganika na Askofu mahalia. Jumuiya ya Waafrika Wakatoliki wazungumzao Kiswahili ni moja kati ya makundi hayo. Jumapili kama siku ya Bwana ni siku kuu kwetu. Hapa, sisi hukusanyika kila jumapili kusheherekea Misa takatifu. Huduma nyingine hupatikana pia katika mkusanyiko wetu. Bwana akubariki unapojiunga nasi. KARIBU.
WELCOME
Welcome to St. Josephine Bakhita Swahili Speaking African Catholic Community (SSACC) in Vienna, Austria.
Praise be to Jesus Christ! Greetings! Brethren, the Holy Spirit who always renews the Church has from the time of Pentecost planted her across the continents, and to people of different cultures and languages. Everywhere the catholicity of the Church is earmarked by the presence of Christian believers who witness their faith. The local Roman Catholic Church in Vienna realises her universality through the diversity of her members united around the local Bishop. The Swahili Speaking African Catholic Community is among several of these communities. Here, we gather each Sunday to celebrate the Sacred Mysteries of our faith with the fullness of our beings. We invite you to come and pray with us, with open arms and open hearts. You would honour us with your presence, prayer and participation in the Eucharistic liturgy. May God graciously guard, guide and bless you and those that you love! WELCOME
Father Pius Msereti
Watoto wetu
Waamini wetu